Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

DAWA YA PUMU HII HAPA USISUMBUKE KABISA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
DAWA YA PUMU IMEPATIKANA SASA.
Ikiwa huna maradhi ya pumu basi watumie ndugu jamaa na marafiki zako ambao watafaidika na habari hii. Hii ni dawa muhimu kwa uwezo wa mwenyezi Mungu kwa wale wenye maradhi ya pumu imevumbuliwa.

Bi Fadhl Allah na muhandis (Engineer) kutoka Sudan ambaye alikuwa na maradhi haya na alikuwa akibanwa na pumu sana ikikaribia kuomba mauti hasa wakati wa kubadilika kwa hali ya hewa.

Kuna watu wameshajaribu na imewafaa sana na mmoja alikuwa akipelekwa hospital kutiliwa oxygen na mwingine akitumia inheler na wote wamepona baada ya kutumia dawa hii.
     Dawa yenyewe ni hii hapa chini:
Chukuwa karafuu 6 zitowe vicha vyake kisha ziroweke hizo karafuu katika nusu glass ya maji wakati wa usiku kisha kunywa maji yake asubuhi kabla hujala kitu chochote kile wala kupiga mswaki.


Fanya hivyo kwa muda wa siku 15, Sisemi kuwa inampa nafuu mgonjwa bali inamponyesha kabisa kwa uwezo wa Mungu.
Usiwe mchoyo kuwa habarisha watu wengine maana kujua kwako iwe faida kwa wengine. Tafadhali sambaza habari hii kwa ndugu jamaa na marafiki zako. Endelea kutembelea Mutalemwa Blog kwa habari zenye uhakika zaidi.

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top