Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MGOMO WA MADREVA DSM WAZUA SINTOFAHAMU

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ikiwa leo ni siku ya pili ya mgomo wa madreva wa daladala pamoja na mabasi yaendayo mikoani nchi nzima ukiendelea, na hii ni live kutoka Dar es salaam Tanzania.
Style ikiwa bado ni ileile ya watumiaji wa daladala kutembea kuelekea makazini kwao kama ilivyo kuwa siku ya jana wakati wengine wakiamua kubaki majumbani kwao na wengine wakipanda magari binafsi kwa bei za juu kuliko vipato vyao.

Mbali na hayo, hiki ndicho kilichomkuta Mutalemwa Blog siku ya jana kutokana na mgomo wa madreva wa daladala jijini Dar es salaam. Story yenyewe ilikuwa hivi.

Kiukweli mgomo huu wa madreva wa daladala umesababisha usumbufu mkubwa sana kwa pande zote mbili. 1. upande wa watu wenye magari yao binafsi na 2. Watu wanao tegemea magari ya abilia au magari ya watu binafsi.
Nianze na watu wenye magari yao binafsi, kiukweli kwa siku yajana hali ilikuwa mbaya sana kutokana na hali ya hewa pamoja na matukio mengineyo yaliyoambatana ikiweno mvua, foleni pamoja na mgomo wa madreva.
Mimi mwenyewe kwa siku ya jana naweza kusema kwamba sitoweza kuisahau kwa sababu kuu mbili, 1 jana asubuhi ilinichukua masaa ma3:40 kufika sehemu yangu ya kazi.

Wakati wa kurudi nyumbani sasa ndipo wimbo wa taifa ulianza kuimbwa, ofisini nimetoka saa 5:30pm lakini mpaka nafika nyumbani kwangu ilikuwa ni saa 11:45pm ambapo nilitumia mda wa masaa 6 na dk 5 kufika nyumbani.
Rakini pia ikumbukwe kuwa mimi nilikuwa na gari langu binafsi, sasa ndo nikuulize wewe ambaye haukuwa na gari binafsi ulikuwa unategemea magari ya abilia je ulifika kwako saa ngapi? Au ndo umefika asubuhi?
Lugh'a iliyo laisi juu ya mathara yatokanayo na mgomo wa madreva nikwamba watu wote wakiwemo wao madreva tunakuwa affected na jambo hilo, kwaiyo nivyema yakatumika maamzi yaliyo na busara kabla ya kuamua kugoma. Uzalishaji utapungua kwa kipindi chote cha mgomo, mapato nayo vilele na etc.

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top