Jana ikiwa ni tarehe 12/01/2015 kwenye maadhimisho ya siku ya mapinduzi ya Zanzibar niliona amiri jeshi mkuu wa Zanzibar aliingia na mkuu wake wa majeshi ndani ya gari ya kijeshi na Kikwete akiangalia kama watazamaji wengine.
Jana sherehe ilipendeza sana, huku wananchi wakawaida pamoja na viongozi kutoka zanzibar na wale wa kutoka Tanzania bara wakiwa wameudhulia katika sherehe izi.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.