Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

BASI LA KILIMANJARO LAKAMATWA LIKISAFIRISHA MILIPUKO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kwa Taarifa ambazo Bado Hazijathibitishwa Rasmi zinasema kwamba kuna Shehena kubwa ya Milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea  Mabomu ya Kuvulia samaki kwa kuwa inaweza ikahimili hata ndani ya maji na Kwa ajili ya Kutengenezea Milipuko ya kupasulia Miamba Migumu Imekamatwa Eneo la Korogwe Mchana Huu Wakati wa Jeshi la Polisi walipokamata Basi la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya Ukaguzi.

Basi la Kilimanjaro lakamatwa likitumika kusafirisha shehena ya milipuko aina ya Explogel V6


Milipuko hiyo ambayo imesafirishwa kwa njia ambayo sio sahihi kutokana na hatari yake ya kuwa kulikuwa na abiria na kama Basi Lingetingishika zaidi Ingeweza Kulipuka .Taarifa zaidi itakuja punde kupitia hapa endelea fuatilia 

 
 Basi Hilo baada ya Kukamatwa

 
 Milipuko hiyo baada ya kukamatwa mchana huu

 Askari wa Jeshi la Polisi Katika Kituo cha Korogwe akikagua Milipuko hiyo



Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top