Samsung Galaxy Tab 10.1 inauzwa hapa leo, ikiwa ni model nomber ya
GT-P7510
Kama inavyo onekana hapo kwenye picha, nikwamba Tablet hii aina ya Samsung inauzwa kwa bei ya Tsh 500,000/= ila maongezi yapo kwa muhitaji.
Sifa zake ni
1. Bluetooth
2. Inaweza kutumia Line ya simu au Wireless Network
3. Ina ukubwa wa ndani kiasi cha 32GB
Kwa atakaye fanikiwa kuinunua atakuwa amewekewa Apps za kutosha, Pia utaweza kukutana na Games mbalimbali za michezo ambazo tayari umewekewa. Kwa mawasilianao zaidi nipigie simu kupitia simu namba:
0659 919 292
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.