Hii ndio Music system ya nguvu kutoka kampuni ya LG. Bei yake ni Tsh 2,100,000/= pia maongezi yapo kwa muitaji serious.
Radio hii ina ukubwa wa 35000Watts, wakati PMS ikiwa ni 3200W. Radio hii inafaa kwa matumizi ya nyumbani pamoja na matumizi ya club au bar (a.k.a kwenye vigodoro).
Pia radio hii ina effects za DJ mbalimbali ambazo zitakufanya uzidi kupenda mziki ukiwa nayo nyumbani kwako au kwenye bar yako pamoja na kwenye club yako.
Kwa yeyote mwenye kuitaji radio hii tuwasiliane kupitia Tigo: 0659 919 292
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.