Abilua zaidi ya 60 waliokuwa wakisafiri kutoka Harare nchini Zimbabwe wakielekea Dar es salaam nchini Tanzania, wamejikuta wakikwama katikati ya jiji la mbeya huku basi la Taqwa lenye namba za usajiri T776 CRN ambalo ndilo lilikuwa limewabeba abiria hao likishikiliwa na polisi kwa madai ya kusafilisha bidhaa mbalimbali kwa nhia ya magendo zenye thamani ya shilling 39 millions.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.