Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

VIJANA KUVUTA BANGI ADHALANI JE NDIO UTANDAWAZI?

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Habari za leo ndugu msomaji wa habari hii. Leo nimetembelea eneo la Mbagara na kujionea mambo mengi na magumu. Napenda kuuliza swali kuwa "vijana kuendelea kuvuta bangi adhalani je huu ndio utandawazi?" Maana jambo hili linaonekana kuwa kama ni jambo la kawaida sana katika maeneo tofauti tofauti ya jiji la Dar es salaam.

Pichani hapo ni kijiwe au maskani ya vijana mbalimbali ambapo utumia kijiwe hicho kuvutia bangi kwa nyakati tofauti ikiwemo nyakati za asubuhi pamoja na nyakati za usiku. Kijiwe hiki kinafahamika kwa jina la Lisbon Halisi na kiko karibu sana na uwanja wa mpira wa miguu mkabala na shule ya msingi Kizuiani pamoja na S/m Kizinga.
Vijana hao utumia mda wao wingi kuvuta bangi katika eneo hilo tena wazi wazi bila kificho chochote, huku wakiwa wamekaa mikao mbalimbali na wakionekana kujiamini. Pia ikumbukwe kuwa kutoka katika eneo hilo ni mita kama 800 hivi kufika kwenye kituo cha police cha Maturubai eneo la Mbagara Kizuiani. Je ni kweli police hawajui chochote kinacho endelea katika eneo hilo?

Ukiachilia  kijiwe hiki/maskani hayo, pua kuna eneo lingine linalofahamika kwa jina la Mangi, eneo hili linapatikana nyuma ya soko dogo lililoko mtaa wa Mangaya hapa Mbagara.
Pia nako hapa vijana utumia eneo hili nyakati za usiku kuvuta bangi huku wakijichanganya na raia wakawaida kwenye banda la video lililopo karibu na eneo hilo. Je taifa linajengwa na akina nani kama vijana ndio mstari wa mbele kutowajibika na kutimiza wajibu wao?.

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top