Msanii wa Bongo movie, Rose Ndauka ambae mama wa mtoto mmoja hivi majuzi aliwashtua followers wake kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM baada ya kutupia picha ya mkono wake ukiwa umevishwa pete ya uchumba kidoleni na kuandika alama ya za mshangao (!!!) na badaye kuweka tena picha ya mkebe wa pete pamoja na mkono ukiwa unapete kidoleni na kuandika (Mmmmmmmh)
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
chochote, swala mabalo hadi leo watu wanavutana juu ya ukweli wa jambo hili.
Swala la kuchumbiwa ni jambo la kheri hivyo Lindiyetu.com kama ni kweli Inampongeza na kumtakia kila la kheri.
Kitendo hiki kiliwafanya followers wengi kuachia comment za kumpongeza na LIKES za kutosha lakini hadi sasa Rose Ndauka ambae hivi karibuni aliachana na mchumba wake Malick Bandawe hajajitokeza kujibu chotote wala kuelezea
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.