Leo ikiwa ni maadhimisho ya uhuru wa tanzania bara wa miaka hamsini na tatu, sasa kama haukuweza kuangalia nini kilicho jili huko katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam, basi pata japo machache kupitia hapa. Zifuatazo ni baadhi ya video zikionesha matukio tofauti, tazama sasa na ujionee mwenyewe yaliyo jili.
Hii ni gadi ya kwanza ambapo kwa sasa inapita kwa mwendo kasi mbele ya mhe. rais ikitoa heshima zake.
Hii ni gadi ya pili ambayo ni gadi ya wana maji (NAVI) ambapo kwa sasa inapita kwa mwendo kasi mbele ya mhe. rais ikitoa heshima zake.
Hii ni gadi ya tatu, kikosi cha FFU ambapo kwa sasa inapita kwa mwendo kasi mbele ya mhe. rais ikitoa heshima zake.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.