Ikiwa ni siku moja baada ya kimbunga ambacho kilizua sintofahamu kwa wakazi wa Uphilippino, ambapo wakazi hao walikumbwa na madhara makubwa sana ikiwemo kukatika kwa nyaya za umeme, miti kuangukia nyumba za wakazi, magari kusombwa na upepo mkali nk.
Kimbunga hicho kilivuma kutoka ukanda wa Pwani kwenye bahari ya Pasific na kusababisha maelfu ya vifo vya watu, kimbunga hicho kiliungurumisha upepo wake kwa kasi ya 210 Kilometer kwa saa.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.