Meli ya serikali ya Zanzibar yenye uwezo wa kuchukua abiria 1.200 inatarajiwa kuingia visiwani Zanzibar mwezi ujao.
Meli hiyo ambayo imetengenezewa nchini Korea ambapo mpaka sasa taarifa zinasema kwamba meli hiyo iko kwenye hatua nzuri kabisa za mwisho wa matengenezo yake ambapo inakaribia kuteremshwa baharini kwa majaribio ya kwanza kabla ya kuanza kazi rasmi.
Meli hii ya mapinduzi II inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 23/12/2014 ambapo katika matengenezo yake jumla imegalimu kiasi cha Dolla za marekani million 30, ambapo zimetokana na fedha za walipa kodi wa zanzibar.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.