Watazame wanajeshi wa jeshi la jamuhuri ya muungano wa tanzania jinsi walivyofanya kazi katika maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanzania bara. Tazama video mbali mbali hapo chini na ujionee nini kilichotokea huko.
Kundi la kwanza likipita mbele ya mgeni rasmi mhe. rai Jakaya Kikwete na kutoa heshima zao.
Kundi la pili likipita mbele ya mgeni rasmi mhe. rai Jakaya Kikwete na kutoa heshima zao.
Kundi la tatu likipita mbele ya mgeni rasmi mhe. rai Jakaya Kikwete na kutoa heshima zao.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.