Gari hili ni aina ya Toyota Runnex, ambalo ni Model ya 2003, Gari hili limetembea 89,500KM
Bei ya gari hili ni Tsh 12.000,000/= (12 Millions). Pia maongezi yapo kwa muhitaji. Gari hili lina tairi aina ya sport, na pia halina matatizo yeyote wala halidaiwi na TRA ndugu mteja wangu. Limesajiliwa kwa namba T282 CHV
Kwa mawasiliano zaidi waweza kuwasiliana na muuzaji kupitia simu namba 0716 358 711 au 0767 806 801
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqkfvdsCQnPtVtdB1BRo8WNnIXPkLftFAgnwnEsIn6wi5e6a3eWRGwII7wh1RRZiR7YnhR6IfHZu2S-L5TKd4i4JeqIXAZnEeqqNhmqdzjNYA4Q76BTKpB9MmvWIsr0dnAZXNg5DJSgT0/s200/FLASH+NECTA.gif)
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.