Kutokana na sakata zima la ufisadi wa ishu ya Tegeta Escrow account kuendelea kuchukua sura mpya kila kukicha, na wabunge wa chama cha mapinduzi kuonekana kulikingia kifua swala hili, Mhe. Edward Lowassa ameamua kupasua jipu kwa kupitia Twitter account yake na kusema kwamba: " Richmond hadi natimuliwa hakuna senti iliyokuwa imeibiwa, lakini hakuna aliyesimama kunitetea, leo watu wanatetea wizi wa waziwazi".
Na uku ikiendelea kuwa kama hivi kwa upande wa pili wa shillingi.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.
1 maoni:
Hakuna Ukweli wowte .. hiyo sio TWEET ya LOWASSA. Huyo tu anayepost haya kwa jina la Lowassa amefungua account hiyo kwa lengo baya dhdi ya Lowassa ama ni mtu asiyejiambua
Reply