Msikilize kiongozi huyu alivyosema juu ya sakata la ishu ya wizi wa pesa za tegeta escrow account.
Katika hali ya kushangaza mbunge lugola aliomba kuvaa kininja ili asiwaangalie usoni wale wausika wa ishu ya Tegeta ESCROW Account, uku akiamini ule usemi wa kusema ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni kwa sababu yeye angalii itikadi ya chama yeye anaangalia swala la utaifa anapo kuwa bungeni.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqkfvdsCQnPtVtdB1BRo8WNnIXPkLftFAgnwnEsIn6wi5e6a3eWRGwII7wh1RRZiR7YnhR6IfHZu2S-L5TKd4i4JeqIXAZnEeqqNhmqdzjNYA4Q76BTKpB9MmvWIsr0dnAZXNg5DJSgT0/s200/FLASH+NECTA.gif)
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.