Baada ya kuonekana kupuuzwa kwa mjadara wa sakata la ishu ya Tegeta Escrow ndipo Mhe.John Mnyika pamoja na wabunge wengine waliamua kuliomba bunge kufanya uwamuzi wa kuweka mjadala huu mezani ili uweze kujadiliwa kiufasaha. Wasikilize wabunge hawa live kupitia hapa.
Kama haukuweza kuisikiliza ripoti ya PAC basi bado ujachelewa, waweza kuisikiliza kupitia hapa leo, ambapo katika list ya watajwa ambao waliusika katika mgao wa pesa hizi za Tegeta Escrow mtajwa wa kwanza ni Mhe. Andrew Chenge ambaye aliingiziwa kiasi cha shilingi bilioni 1.6, Ripoti live hii hapa.
Leo ilikuwa ni kusomwa kwa ripoti ya Professor Sospiter Muhongo, ambao imesomwa na muhusika mkuu. Kwaiyo kama ukuweza kupata mda wa kusikiliza bunge basi habari nzima hii hapa, sikiliza ripoti ya Muhongo live hapa.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqkfvdsCQnPtVtdB1BRo8WNnIXPkLftFAgnwnEsIn6wi5e6a3eWRGwII7wh1RRZiR7YnhR6IfHZu2S-L5TKd4i4JeqIXAZnEeqqNhmqdzjNYA4Q76BTKpB9MmvWIsr0dnAZXNg5DJSgT0/s200/FLASH+NECTA.gif)
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.