Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Na George Lenatus
(Huyu ni mdau wangu kutoka Mbagala)
Msikitini ni eneo lililoko katikati ya Mission na Mtongani uku mbagala.
Tukio la wananchi kufunga barabara kwa kutumia mawe, vibanda na wengine kusimama katikati ya barabara, limewajia baada ya raia mwenzao kugongwa na gari kwenye eneo hilo.
Wananchi hao wamesema kwamba hatutoendelea kuvumilia hali hii yakuwa kila siku raia wanagongwa ovyo ovyo kwenye maeneo haya.
Wanachokitaka nikuwekewa matuta kwenye maeneo korofi moja wapo likiwa ni eneo la msikitini.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.
Filed Under:
JAMII
on Monday, June 2, 2014