Huyu mrembo anaitwa Sofia, ndio ataonekana kwenye video mpya ya @OmmyDimpoz aliyofanya nchini London
Ommy Dimpoz amerudi Tanzania March 10 2014 saa taNigeria aJamaa huyuhafaaanyi kazi ambayo ni chini ya dolla elfu 20vyanzo vkuendeleahabari viliweza kumnasa baada ya kushuka Uwanjani.
Amethibitisha ni kweli amefanya video yake mpya nchini London ambapo aliehusika kama Director ni mshkaji ambae amefanya video kadhaa za wakubwa wa Afrika kama Azonto ya FUSE ODG, video za caro ya Wizkid na Davido ‘skelewu’ na nyinginezo.
Huyo hapa juu ndiye director wa video hii mpya ya mtu mzima Ommy diDimpoz mzee wa pozi kwa pozi, jamaa anaitwa Moe Mussa ni mwingereza mwenye asili ya Nigeria. Jama huyu hafanyi kazi ambayo ni chini ya dolla elfu ishirini na kuendelea. Hesabu za araka haraka jamaa anapiga mzigo ambao nikama 30 millions kwa pesa ya tanzania.