Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Filamu mpya ya Noha Nuhu yapigwa marufuku.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Filamu mpya iitwayo Noah ambayo inatarajiwa kuzinduliwa mwezi wa nne mwaka huu tayari imepigwa marufuku kuonyeshwa katika mataifa matatu ya kiislamu kwa madai kwamba inakwenda kinyume na dini za mataifa yao.

Nchi ambazo tayari taarifa zake zimethibitishwa na mwandaaji wa Paramount pictures ambao ndio waliosimamia filamu hiyo ni pamoja na Qatar, umoja wa falme za Kiarabu (UAE)pamoja na Bahrain. Pia mataifa mengine ambayo yanauwezekano wa kutangaza kutoonyeshwa kwa filamu hiyo nchini mwao kwa kisingizio cha dini ni pamoja na Misri, Jordan pamoja na Kuwait.

Filamu hiyo ambayo imeandaliwa kwa kiasi cha dola milioni 125 za Marekani ikiigizwa na mwigizaji maarufu duniani Russell Crowe na waigizaji wengine, ni filamu inayosimulia kisa cha Nuhu kama kilivyoandikwa kwenye Biblia takatifu ingawa tayari kuna msuguano kutoka kwa baadhi ya watu ambao wanaamini waigizaji hao wa Hollywood wamechakachua baadhi ya mambo katika filamu hiyo
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top