Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MATUKIO

TAMAA YA PESA BINTI APOTEZA MAISHA YAKE.

Sijui ni tabia au ni destuli ya mtu, au uchu wa kupenda kuchezea au kuchezewa nyeti? mimi kiukweli sijui, ila nikwamba Msichana mmoja mpenda pesa alomtoroka mme wake na kwenda kwa hawara aliyefahamika kwa wengi katika eneo jilani ambalo mke wa mtu pamoja na familia yake walikuwa wakiishi,alitoloka akiwa na lengo la kumsaliti mmewe, Ghafla hawara alibadilika nakua Chatu kisha akaanza kummeza mke wa mtu huyo.

Picha iliyopo apo juu ilichukuliwa kwa njia ya simu na mmoja wa wahudumu wa hoteli ambayo watu hawa walienda kupatumia kama sehemu yao ya kujivinjari,  kwaiyo picha hiyo itatumika ili kusaidia katika uchunguzi wa polisi. Jambo hili la kusikitisha na kuustajabisha limetokea huko mkoani Mwanza.

BOFYA HAPA KUPATA HABARI ZOTE ZA MATUKIO
Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top