Kwa mahitaji ya bidhaa za Panasonic, Venus, Moulinex, Ariston, Tefal, Wahl, Hotpoint, K.I.C, Hitachi, Sharp, pamoja na Toshiba. |
Karibu sana dukani kwetu lililopo ndani ya jengo la Mlimani City. Duka letu linaitwa PANASONIC, tunatazamana na duka la JUSTFIT pamoja na AMINA DESIGN.
Ndani ya duka letu utaweza kujipatia bidhaa zifuatazo hapo chini nk.
1. Tv, Music System, Home Theatre, Radio na Speaker za magari, DVD player.
2. A/C, Fen, Water Pumps, Air Cooling.
3. Microwave, Friji, Frizer, Washing Mashine, water Dispense, Majiko ya umeme au ya Gesi,
Kwa mahitaji ya bidhaa za Panasonic, Venus, Moulinex, Ariston, Tefal, Wahl, Hotpoint, K.I.C, Hitachi, Sharp, pamoja na Toshiba. |
4. Mashine za kunyolea ndevu au Nywere, Pasi, Jagi za kuchemshia maji, Blender, Rice cooker, Blue Tooth Devices, Battery.
Kwa maelezo zaidi tupigie kupitia 0659 91 9292