Featured

    Featured Posts

Loading...

WANANCHI WA GEITA WAANZA KUPEWA MABAKI YA MAWE YA DHAHABU

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Kampuni ya Geita Gold Mine(GGM) imeanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli la kugawa mabaki ya mawe ya dhahabu kwa wananchi. Rais alipokuwa Geita alitoa wiki tatu mabaki hayo yaanze kugawiwa kwa wananchi.

Mabaki ya mawe ya dhahabu yanayofahamika kama magangwala yatkuwa yanapewa kwa wananchi kuanzia sasa, hili linafuatia agizo la Magufuli alilolitoa akiwa huko Geita ambapo alitoa wiki tatu wananchi hao wapewa mabaki hayo, lakini wananchi wamehofia kuwa watakuwa wanapewa mabaki hewa.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top