Featured

    Featured Posts

Loading...

DAWASCO WAMKAMATA MWIZI WA MAJI YAO ENEO LA MCHIKICHINI, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

DAWASCO imeendelea na operesheni maalum ya kukamata wezi wa maji ambapo limefanikiwa kukamata matenki 9 yanayomilikiwa na Bwana Bonifas Mungule aliyejitambulisha kuwa mfanyakazi wa Serikali.


Bwana huyo amekuwa akiwauzia maji hayo wizi wakazi wa Ilala mchikichini. Ukiwa kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yako, nini maoni yako juu ya tukio hili??

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top