Featured

    Featured Posts

Loading...

NI KWANINI BAADHI YA WANAWAKE WAKISHAOLEWA WANAWACHUKIA NDUGU WA MUME?? BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

MAHUSIANO: Kwanini baadhi ya wanawake wakishaolewa hawawapendi ndugu wa mwanaume? Kabla ya kuolewa unakuta mwanamke anajipendekeza ukweni mara ampelekee mama mkwe vizawadi ili mradi aolewe

Akishaolewa vitimbi vinaanza hataki kuona mwanaume anasaidia kwao.

Kabla ya kuoa unakuta mwanamke anajipendekeza ukweni mara ampeleke mama mkwe vizawadi ili mradi aolewe akishaolewa vitimbi vinaanza hataki kuona mwanaume anasaidia kwao.

Lakini ukisaidia kwao hakuna shida hivi kweli inafikia sehemu mwanamke anamzuia mume wake kumsomesha mdogo wa ndugu zake wakiwatembelea wanaishi vizuri wakija ndugu wa mwanaume wanaishi kwa gubu.

Wanawake wenye tabia kama hii badilikeni hakuna aijuae kesho unaweza siku moja kwenda kuomba msaada kwa hao uliokuwa unawafanyia gubu.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top