Featured

    Featured Posts

Loading...

NAULI ZA DART ZIMEJALI ZAIDI VIPATO VYA WALALA HOI, BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Nauli zilitangazwa rasmi tarehe 09/05/2016 kama ifuatavyo hapo chini.

1. Wanafunzi 200/=
2. Feeder 400/=
3. Trunk 650/=
4. Trunk/Feeder 800/=

TAFSIRI.
1. WANAFUNZI INAELEWEKA.

2. TRUNK Sh. 650/=  Ni pale utakapokuwa umepanda Basi la DART linalopita kwenye Njia maalumu.Mfano Kuanzia Kimara - Kivukoni, Kimara- Kariakoo, Moroco - Kivukoni, Morocco - Kariakoo. Hii haijalishi unapita vituo vingapi au unashukia kituo gani kama ilivyo kwenye Daladala.

3. Feeder Sh. 400/= Ni pale utakapo panda Basi la DART ambalo linafanya kazi nje ya Mfumo (Barabara Maalum za DART). Mfano Kimara - Mbezi.

4. Trunk/Feeder sh. 800/= hapa ni pale utakapo tumia Aina zote za Usafiri Kwa kuunganisha Mfano Mbezi Kimara Halafu Kimara Posta.

DART USAFIRI WA HARAKA NA UHAKIKA

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top