Featured

    Featured Posts

Loading...

KOCHA RAFAEL BENITEZ ATAENDELEA KUITUMIKIA KLABU YAKE YA NEWCASTLE, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Kocha Rafael Benitez ataendelea kuitumikia klabu yake ya  Newcastle United baada ya kuongeza mkataba wa miaka mitatu ya kuendelea kutoa huduma hiyo japokuwa imeshuka daraja.

Meneja huyo mwenye umri wa miaka 56 aliteuliwa kukinoa kikosi hicho baada ya kuondolewa kwa kocha Steve McClaren's hata kama  ameshindwa kuibakisha timu hiyo kwenye ligi kuu ya England na kupelekea kushuka daraja.

Kocha huyo aliyewahi kuvinowa vilabu vikubwa England Liverpool, Chelsea, na timu ya spain  Real Madrid sasa boss huyo Benitez amefurahiya kitendo cha kubaki kuifundisha timu hiyo ya New castle.

kubaki kwa kocha huyo unadhani timu ya New castle itarejea ligi kuu ya England.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top