Featured

    Featured Posts

Loading...

HILI NDILO TAIFA LANGU, KUFAHAMU ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

1. Taifa ambalo mabinti wakimuona mzungu wanadhani ana pesa nyingi sana.
2. Taifa ambalo ukiongea kingereza unaonekana umesoma saaana.

3. Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we unaonekana mjanja sana, japo vocha unaweka sh.500

4. Taifa ambalo mtu kwao hawana umeme ila yeye ndiye wakwanza kuilalamikia Tanesco eti wanaboa.

5. Taifa ambalo akina dada warembo wameshaona wao ni wakupewa kila kitu daima.

6. Taifa ambalo vijana wanalalamika hawana kazi, wakati ukiwapa dili wanaanza longolongo.

   Je ni nini maoni yako juu ya taifa lako?

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top