Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

PAPA FRANCIS AWACHUKUA WAISLAMU 12, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewachukua wahamiaji 12 kutoka Syria na kwenda nao Vatican baada yake kutembelea wahamiaji katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki. Wahamiaji hao kutoka familia tatu wote ni Waislamu, na miongoni mwao kuna watoto sita.

Nyumba za familia hizo zilishambuliwa kwa mabomu wakati wa vita nchini Syria.
Vatican imesema kupitia taarifa kwamba Papa Francis amechukua hatua hiyo kuwaonesha wahamiaji kwamba wanakaribishwa.

Maelfu ya wahamiaji kwa sasa wamekwama katika kisiwa cha Lesbos kufuatia mkataba wa mwezi jana kati ya Umoja wa Ulaya na Uturuki ambao unalenga kupunguza idadi ya wahamiaji wanaoingia Ulaya.

Baba Mtakatifu aosha miguu ya waislamu.Papa Francis: Donald Trump 'si Mkristo' Kwa Picha: Maisha ya Papa Francis

Wahamiaji wote walioondoka na Papa walikuwa tayari wanaishi Lesbos kabla ya mkataba huo kuanza kutekelezwa, Vatican imesema.

Chini ya mwafaka huo baina ya EU na Uturuki, wahamiaji wanaofika kwa njia haramu katika visiwa vya Ugiriki kutoka Uturuki baada ya tarehe 20 Machi watakuwa wakirejeshwa Uturuki iwapo hawatafanikiwa kuomba hifadhi. Kwa kila mhamiaji wa Syria anayerejeshwa Uturuki, EU itampokea mhamiaji mwingine kutoka Syria aliyeko nchini Uturuki.

Awali, Papa Francis aliambia wahamiaji wanaoishi katika kambi ya wakimbizi ya Moria, baadhi wakikabiliwa na uwezekano wa kurejeshwa Uturuki, kwamba "hamjaachwa peke”.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top