Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WAFUGAJI WALIOVAMIA MAENEO YALIYOHIFADHIWA WAONDOE MIFUGO YAO, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Serikali imewaagiza wafugaji waliovamia maeneo yaliyohifadhiwa ikiwemo hifadhi za taifa,mapori ya akiba na misitu ya hifadhi ya vyanzo vya maji kote nchini kuiondoa mifugo yao kwenye maeneo hayo haraka  inavyowezekana kabla nguvun haijatumika kuwaondoa wavamizi hao.

Agizo hilo limetolewa Mjini Morogoro na Waziri wa Maliasili na Utalii ,Profesa JUMANNE MAGHEMBE baada ya kutembelea maeneo na taasisi za uhifadhi za Mkoani Morogoro.

Amesisitiza kuwa kuendelea kupeleka mifugo kwenye maeneo yaliyohifadhiw a na yenye wanyamapori kuna atha ri kubwa kwa uhifadhi wa vyanzo vya maji na kunaihatarisha mifugo hiyo kukumbwa na magonjwa ya wanyamapori ambayo yataifanya nyama ya ng'ombe wa Tanzania isifae kwa matumizi ya binadamu  kwenye soko la kimataifa .

Akiwa Mjini Morogoro Profesa MAGHEMBE ametembelea taasisi ya utafiti wa  misitu , mfuko wa kuhifadhi misitu ya tao la Mashariki na msitu wa Hifadhi wa Morogoro na akapata taarifa kutoka kwa watendaji wakuu wa taasisi hizo kuwa maeneo mengi ya uhifadhi yanakabiliwa na matatizo mengi   ikiwemo uvamizi wa wafugaji ambao wanachunga mifugo katika maeneo hayo kinyume cha sheria .


Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top