Featured

    Featured Posts

Loading...

VIONGOZI NA WAWAKILISHI WA NCHI ZA EAC WAWASILI ARUSHA, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Viongozi na wawakilishi wote wa nchi za EAC wameshawasili Arusha

Viongozi na wawakilishi wote  wa  nchi za za jumuiya  ya Afrika  Mashariki wameshafika jijini Arusha tayari kwa  mkutano wao wa 17  wa wakuu wa nchi  zinazounda jumuiya  ya  Afrika Mashariki.

Marais wanaohudhuria kikao hicho ni pamoja na John Magufuli wa Tanzania,Uhuru Kenyeta wa Kenya,Paul Kagame wa Rwanda,Yoweri  Museveni wa Uganda na makamu wa rais wa Burundi anayemwakilisha  rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza.


Katika mkutano huo pia wamealikwa viongozi na nchi mbalimbali ikiwemo ya Sudani  Kusini ambayo imewakilishwa na Makamu wa rais Tayari  viongozi hao wameshaanza kikao chao  ndani.


Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top