Featured

    Featured Posts

Loading...

LOWASSA HAKUTOA HATA SENTI 5 KUINUNUA CHADEMA, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe anasema umoja wao ndani ya UKAWA ulisaidia kujenga mtengamamo wa kitaifa tofauti na chaguzi zilizopita.

Mbowe: Usiku Hotel ya gold crest ilivamiwa na polisi wakimtaka Ester Bulaya, viongozi wa Chadema wakapambana na polisi.. Kama umeingia chadema na unaogopa kulala ndan bac umekosea njia.

Mbowe: Sasa uchaguzi ndani ya Chadema utafanyika mwaka 2017, uchaguzi mkuu wa chama ni October 2018.

Mbowe: Migogoro mingi ndani ya Chadema imepelekea kuanguka kwa chama, hivyo itashugulikiwa kwa haraka.
Mbowe: Kuiua Chadema kuna gharama kubwa. Mbowe: Mchakato wa kumpata katbu wa Chadema kuna mambo yake. Ebu ngoja tuache nitasema badae.

Mbowe: Jambo ambalo hatutalivumia ndani ya Chadema ni swala la rushwa kwani rushwa linagawa taifa, sasa swala la rushwa lililelewa na CCM na sasa inataka kuingia Chadema.
Mbowe amewanyooshea vidole wale wanao tumia mitandao ya kijamii.

Mbowe: Kuna majimbo kama Iringa, Rukwa, Arusha Chadema waliachiwa kwa aslimia mia moja na Ukawa hvyo amewataka wajumbe wajitafakari kwanini wameshindwa kuchukua ushindi wa kutosha ktk majimbo hayo.

Mbowe: Mkutano umeazimia kufupisha uongozi ndani ya Chadema, ili kujipanga na kupata nafasi ya kujianda vyema ktk uchaguz mkuu. Mbowe: Changamoto zilizopo ndan ya ukawa hakuna haja ya kuyakimbia bali ni kupambana nayo.

Mbowe: Kutukana na kuchafua chama
Mbowe: Waraka wa kukamatwa kwa Ester Bulaya umetoka kwa spika wa bunge. Wajumbe wamekubali mabadiliko hayo kwa kauli moja.

Mbowe: Nawashauri tunapokuwa popote lazima tukatae nchi yetu kugawa vipande vipande. Kama kuna kosa tunalifanya Chadema ni kushabikia kuligawa taifa.
Mbowe: Wanaovuruga Viti Maalum ni wanaume kuliko wanawake. Wanaume wana interest na viti maalumu kwa kiasi kikubwa nchi hii na kuharbu utaratbu
Mbowe: Watu walidhani kuondoka kwa Slaa chama kitakufa.

Mbowe: Watoto wangu walikuwa wa kula sana maharage, sasa siku moja wakala nyama, jirani akasema umeona Lowassa kaja Chadema.. Lowassa hakutoa hata senti tano kununua chama.


Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top