Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WAZIRI KAIRUKI AMEMSIMAMISHA KAZI MKUU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA NA WENGINE WAWILI, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Waziri Kairuki amsimamisha kazi mkuu wa chuo cha utumishi wa umma na wengine wawili.

Waziri wa nchi ofisi ya rais utumishi na utawala bora Mhe. Angela Kairuki amemsimisha kazi mkuu wa chuo cha utumishi wa umma nchni Bwana Saidi Nassor kwa kushindwa kusimamia watumishi waliochini yake na kuisababisha serikali hasara kubwa.

Akizungumza na vyombo vya habari pamoja na viongozi wa serikali, Mhe Kairuki amesema kushindwa kusimamia watumishi hayo kumeathiri utendaji katika matawi na kutoa mwanya kwa viongozi wengine kufanya ubadhirifu wa mali za umma ikiwemo kuongeza gharama za majengo ya matawi.

Aidha Mhe Kairuki amewasimamisha kazi viongozi wawili waandamizi wa serikali akiwemo aliyewahi kuwa mkurugenzi wa chuo tawi la Mtwara mwaka 2011 hadi mwaka 2013 Bwana Silvanus Ngata na mkuu wa chuo cha kampus ya Dar es Salaam Bwana Joseph Mbwilo.

Wakizungumzia utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano, baadhi ya wananchi wamepongeza rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuonyesha namna ya utendaji wa serikali kwa viongozi aliowateua katika nafasi mbalimbali ikiwemo mawaziri na kuongeza kazi zaidi ya kiutendaji ili kulinyanyua taifa la Tanzania lililokuwa limepoteza muelekeo kwa muda mrefu.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top