Featured

    Featured Posts

Loading...

VIPODOZI TANI 3.5 VYA THAMANI YA TSH 13.5M VYATEKETEZWA NA TFDA, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

TFDA yateketeza vipodozi na vyakula tani 3.5 vyenye thamani ya sh milioni 13 na laki 5 Singida.

Mamlaka ya chakula na dawa TFDA kanda kati wameteketeza tani za vipodozi, vifaa tiba na vyakula vyenye uzito wa tani tatu nanusu zikiwa na thani ya shilingi milioni kuminatatu na laki tano ambazo hazitakiwi kutumika nchini na vilivyo kwisha muda wake wa matumizi.

Akiteketeza vifaa hiyo afisa mkaguzi wa chakula kutoka mamlaka ya chakula na dawa TFDA kanda ya kati Bwana Aberl Deule amesema baadhi ya wafanyabiashara sasa wameanza kubadilisha muda wa matumizi kwenye bidhaa za makopo na kusababisha wananchi kupata madhara ya kuugua matumbo.
Kwa upande wake mganga mkuu wa manispaa ya Singida Daktari John Mwombeki amesema pamoja na wafanyabiashara wengi kufahamu madhara ya kuuza bidhaa za vipodozi ambvyo vimekatazwa hapa nchini na kupunguza kasi ya kuvileta tofauti na awali, sasa wamekuwa wakitumia njia ya kuzificha bidhaa hizo tofauti na awali walikuwa waki viweka katika mbao za kuuzia.

Mamlaka ya chakula na dawa kanda ya kati TFDA imefanya operationi hiyo kwa muda wa siki kumi katika kata nane na kukagua majengo miamoja themanini na tatu yakiwemo majengo ya dawa viwanda vya chakula na machinjio ya manispaa ya Singida.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top