Featured

    Featured Posts

Loading...

HOSPITAL YA WILAYA YA NACHINGWEA MKOA LINDI INAKABILIWA NA UHABA WA VITENDEA KAZI, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Hospitali ya wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi inakabiliwa na uhaba wa vitendea kazi.

Hospitali ya wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi inakabiliwa na uhaba wa vitendea kazi  ikiwemo vitanda na BP Mashine hali iliyolazimu mbunge wa jimbo hilo kununua vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 15 kwa ajili ya hospitali hiyo na baadhi ya vituo vya afya vilivyopo katika wilaya hiyo.

Akizungumza mara baada ya kupokea msaada huo mkuu wa wilaya ya Nachingwea Parareto Gema ameomba wadau wengine kujitokeza kusaidia maeneo hayo ya kijamii badala ya kusubiri serikali.

Amesema wilaya hiyo bado inakabiliwa na upungufu wa vifaa tiba hivyo ni vyema wananchi wengine wakajitokeza ili kuunga mkono juhudi za mbunge katika kusaidia wananchi katika huduma ya afya na elimu.

Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na magodoro 30,vitanda 19,mashuka 95 na BP Mashine kumi ambavyo vimenunuliwa kutoka bohari kuu ya madawa kanda ya kusini –MSD.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top