Featured

    Featured Posts

Loading...

AJALI YASABABISHA FOLENI YA MASAA MAWILI ENEO LA KOKOTO MBAGALA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Gari la mzigo aina ya Serela limeanguka na kuziba barabara upande mmoja kisha kusababisha foreni kubwa sana kwa watumiaji wa barabara hii ya Kilwa Road.

Tukio hili la ajali limetokea tangu mda wa saa kumi na moja jioni ya leo eneo la kokoto mbagala lakini traffic wamefika eneo la tukio baada ya saa moja mbele. Foreni imeanzia eneo la kokoto hadi kongowe kwa magari yanayorudi mbagala, ila kwa yale yanayoenda kongowe na kwingineko kama Mwandege, Vikindu nk hali ni shwari kwa upande wao.


Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top