Featured

    Featured Posts

Loading...

GHARAMA ZA KUPIGA X-RAY AMANA HOSPITAL KUSHUKA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Gharama za kupiga EXRAY katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam imepungua baada ya kupatikana kifaa kinachojulikana kama COMPUTER RADIOGRAPHIC -CR ambapo sasa mgonjwa atalipia shilingi elfu tatu badala ya shilingi elfu 15 ya hapo awali

Mtaalamu wa kitengo hicho ELVIS CHALE amesema wameanza kukitumia kifaa hicho hivi karibuni ambapo pia wanatoa CD na hivyo kurahisisha wagonjwa kupata huduma hivyo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top