Featured

    Featured Posts

Loading...

MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA R.I.P MCHUNGAJI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mwanasiasa mkongwe nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch.Christopher Mtikila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Msolwa, Chalinze mkoani Pwani siku ya jana.

katika ajali hiyo gari lake lilikuwa na watu watatu ambapo mpaka sasa wako hospitalini kwa ajiri ya matibabu.R.I.P Mchungaji
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top