Featured

    Featured Posts

Loading...

AFISA WA UBALOZI WA RWANDA AFUKUZWA BURUNDI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Serikali ya Burundi imemfurusha afisa wa ubalozi wa Rwanda nchini humo kwa madai kwamba amekuwa akihusika katika kuhujumu usalama nchini humo.

Balozi wa Rwanda nchini Burundi amethibitisha kufukuzwa kwa Bw Desire Nyaruhirira.

Uhusiano kati ya Rwanda na Burundi umekuwa ukidorora hasa tangu kutekelezwa kwa jaribio la kumpindua Rais Pierre Nkurunziza.

Majuzi, Burundi ilidai Rwanda imekuwa ikiwafunza na kuwasaidia waasi wanaotaka kuvuruga hali ya usalama nchini humo.

Waziri wa masuala ya kigeni wa Burundi Alain Nyamitwe pia aliambia BBC kwamba Rwanda inamhifadhi kiongozi wa jaribio la mapinduzi yaliotibuka mbali na kuwasaidia waasi kutekeleza mashambulizi mipakani.

Rwanda imekana madai hayo na kusema Burundi inajaribu kupotosha watu kuhusu matatizo yake.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top