Karakana ya Group Six inayojihusisha na biashara ya kuchanganya na kuuza
zege iliyofungiwa hivi karibuni na baraza la taifa la hifadhi na
usimamizi wa mazingira kutokana na kutifua vumbi
linalosababisha kero na
madhara kwa majirani na watumiaji wa barabara maeneo ya Mikocheni
imeendelea na shughuli zake bila marekebisho yoyote.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies