Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ENEO LA HEKARI MBILI 2 LIKONDANI YA FENSI, LINAUZWA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
ENEO LA HEKARI MBILI 2 LIKONDANI YA FENSI, UTUNGE KISEMVULE LINAUZWA
 Eneo lenye ukubwa wa hekari  mbili 2 liko ndani ya fensi,  
 
eneo hili linapatikana sehemu moja inaitwa Utunge hapa  Kisemvule mkoa wa Pwani, 
 
umbali wake ni 1.5Km kutoka barabara kuu,
Eneo hili liko sehemu tambarale na linafaa kwa matumizi yote mfano Yadi za magari/kiwanda nk. 
Pia lipo karibu na barabara kama unavyo jionea kwenye picha zake.
Eneo hili linauzwa kwa Tsh 200millions. Pia maongezi yapo kwa mteja ambaye atakuwa serious kulinunua.

 
 Tuwasiliane sasa kupitia 0659 91 9292
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top