Mhe. Gasper Ngido amechukua fomu leo ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi ccm kwenye uchaguzi Jimbo la Hai mkoa Kilimanjaro.
Huyu nikijana mwenzetu kabisa, wana Hai pamoja na watanzania wote kwa ujumla tumsaporti kijana mwenzetu ili aweze kushinda na kuweza kuwatumikia wana Hai pamoja na watanzania wote kwa ujumla.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies