Featured

    Featured Posts

Loading...

MAZOEZI SIMBA YAVURUGWA JUU YA ISHU YA LOWASSA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Jina la Lowassa lilikatwa usiku wa kuamkia Jumamosi ambapo awali wachezaji na makocha wa Simba walipofika uwanjani hapo kwa ajili ya mazoezi walikuwa hawajapata taarifa zozote kuhusiana na jambo hilo ambapo shabiki mmoja aliibuka na kusema kwa nguvu ishu hiyo ndipo kila mmoja wao akashtuka.

 
Championi Jumatatu ambalo limeweka kambi maeneo haya, lilishuhudia tukio hilo ambapo baada ya kila mmoja kupata taarifa hizo akaanza kusema lake.
Wapo waliokuwa wakishangilia huku wengine wakikasirika ambapo wakati mazoezi yakiendelea jina la Lowassa lilikuwa likitajwa kila wakati hali ambayo iliwashtua wengi.

Hawakuishia hapo kwani waliendelea kutaniana huku wengine wakiitwa timu Lowassa ambapo kitendo hicho hakikukasirikiwa na kocha bali ilichukuliwa kama utani tu. CCM imempitisha Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho.
CHANZO: CHAMPIONI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top