eshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es
Salaam limesema limefanikiwa kuwakamata majambazi watano wanaodaiwa
kuhusika na tukio la uvamizi katika kituo cha polisi cha Stakishari
kilichopo Ukonga.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema Majambazi hao wamekamatwa Mbagala ambapo katika tukio hilo pia wamekamata pia fedha shilingi milioni 170 na bunduki 16 miongoni mwao ni zile zilizoibiwa katika kituo cha Stakishari. Chanzo EATV.