Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

LEO NI KUMBUKUMBU YA KUZAMA KWA MV BUKOBA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Itakumbukwa kuwa siku kama ya leo MAY 21 mwaka 1996 ilikuwa ni siku ya majonzi makubwa sana kwa wana bukoba pamoja na watanzania wote kwa ujumla wake.

Stori kubwa ni kuhusu ishu ya kumbukumbu ya kuzama kwa meli ya MV Bukoba ambayo ilipata ajali mwaka 1996. Ndugu zangu, naomba kuchukua nafasi hii kuwapapole wale wote mliopoteza ndugu/jamaa au marafiki zenu. Tuzidi kuwaombea kwa Mungu napia sara zetu zitawafikia huko walipo mbinguni.

Wote tuseme Amen
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top