Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

VIWANJA PAMOJA NA MASHAMBA VINAUZWA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
1. Eneo lenye ukubwa wa hekari 300 linauzwa, eneo hili liko Bagamoyo kupitia barabara ya Bagamoyo Mlandizi katika kijiji cha Yombo karibu na itakapokuwa stend ya maroli. Bei yake ni 3.5billions pia maongezi yapo.
2, Kuna Eneo la hatua 30 kwa 40 eneo la Mbezi Maramba mawili bei yake ni 2millions.

3. Kuna Eneo la hekari 6 lipo kibugumo Kigamboni hilo nahitaji 260 millions.

4. Kuna nyingine plot ipo Ukuni Bagamoyo hiyo nataka 70 millions.

5. Pia plot nyingine ipo Zinga ina ekari 2 hiyo nataka 40 millions.

6. Pia kuna eneo la hekari 4 lipo Cheta, ni 8km kutokea vikindu getini barabara kuu bei 24millions.

Ndugu mteja, kila eneo bei yake inapungua kama kweli unaitaji kununua. Wote mnakaribishwa sana.

Kwa yeyote mwenye kuitaji eneo au shamba tuwasiliane kupitia namba 0659-919 292 au 0787-637 571 whats up napatikana pia Mimi naitwa Mutalemwa.
Endelea kutembelea Mutalemwa Blog kupitia http://mutalemwa-masgider.blogspot.com

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top