Katika mapigano baina ya wafuasi wake na askali wa Pakstani ndipo kiongozi huyu aliweza kuuwawa, ambapo kiongozi huyu ametumia muda mwingi sana wa maisha yake kwa kukaa nchini marekani kabla ya kuleta mawazo hasi kwenye serikali ya nchi hiyo.
Katika mapigano hayo askali wawili walipoteza maisha yao, ambapo askali wa kwanza alikuwa ni kutoka katika kundi la Pakstani, na mwingine akiwa ni kutoka katika kundi la askali wa Marekani.

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.





