Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WEREMA AKUBALI RASMI KUNG'ATUKA KATIKA CHEO CHAKE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Hatimaye mwanasheria mkuu wa serikali bwana Fredrik Werema amekubali rasmi kung'atuka katika cheo hicho baada ya ripoti ya PAC kuwekwa rasmi hadharani huku waziri mkuu Mizengo Pinda akisema anasubiri hatma yake katika majadiliano yatakayofanyika bungeni, nimethibitisha.


Aidha waziri prof. Anna Tibaijuka naye amekubali kung'atuka baada ya ripoti ya PAC kusomwa bungeni. Hayo yameamuliwa katika kikao cha CCM chini ya Philip Mangula kilichomalizika mjini Dodoma leo alfajiri.





Pinda amesema kuwa hatma yake iko mikononi mwa wabunge kama watapitisha kwa kauli moja kuwa ang'atuke yupo tayari kufanya hivyo
kutokana na ripoti ya PAC kutokumuwajibisha kwa lolote lile.



Ripoti ya PAC imewawajibisha kwa uzembe AG Werema, Saad Mkuya-fedha, Muhongo Sospeter- Nishati na madini na gavana Beno Ndulu.Aidha wengine ni vigogo wote wa juu wa Tanesco.


Kwa upande mwingine bunge limeambiwa liamue hatma ya waziri mkuu pamoja na mawaziri wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu huku wakikwepa sekeseke la kuwajibishwa na PAC.


Kikwete anatarajiwa kurejea kesho usiku ambapo atalazimika kumteua AG mpya na kulisuka upya baraza la mawaziri na kama wabunge wataamua kumsulubu Pinda( kutokana na utashi wao kwani hajabanwa na PAC) basi Kikwete atalazimika kuiunda upya serikali.


Kama Nilivyoipata.


  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top