Kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya usalama barabarani limekuwa moja ya tatizo kubwa sana na chanzo kikubwa mno kwa kusababisha ajali za kila siku, ambapo mamia ta watanzania wanapoteza maisha yao bila ya utayari wao huku wakiacha familia zao katika hali mbaya zaidi kiuchumi.
Ila chanzo cha matatizo yote haya ni rushwa iliyotawala kila idala ambapo madreva asilimia 80 wote wana leseni halali lakini hawakuwai kusomea masomo juu ya kozi za leseni walizonazo.
Kwaiyo basi ili tuweze kuepukana na janga hili hatuna budi kukemea vitendo vya rushwa kwa kila sector iwe polisi, maofisini, barabarani, viwandani, ma hospitalini, mashuleni nk. Kwaleo naishia hapo tukutane siku nyingize katika ''JE WAJUA?'' endelea kutembelea Mutalemwa Blog na upate habari za kila siku.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.