Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

PATA ELIMU BILA MIPAKA NA STORRY ZA MTAANI KAMA IVI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Je unafahamu kama Konokono hana mfupa wowote kwenye mwili wake na pia konokono ni aina ya "Hermaphrodites", Kwa maana ya kwamba konokono wanamiliki jinsia mbili (kiume na kike).

Kwenye kujamiiana wanaviziana, atakaeruhusu kupandwa ndiyo atataga mayai.
Huyo ndio konokono, lakin ebu fikiria binadamu tungekua katika kundi hili la "Hermaphrodites" na hizi akili zetu ingekuwaje? Tungetembeleana kweli? Mkeo ukimkolofisha kidogo tu anakuvizia usiku umelala anakupa mimba.

Unacheka!, shauri yako shukuru Mungu. ohoo..siku nyingine tutamchambua kiundani mnyama aina ya Tembo. Endelea kutembelea Mutalemwa Blog
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top